Tuesday, August 20, 2013

Education Motivationa Programs& Faith Building Program

Yale Makongamano ya Elimu (Education Motivation Programs) maarufu kama EMP na yale ya Ujenzi wa Imani (Faith Building Programs) maarufu kama FBP yamerudi tena. Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuandaa makongamano haya kwa mara nyingine mwaka huu. Makongamno yatafanyika nchi nzima Mikoani na Wilayani. Makongamano haya yataendeshwa kuanzia mwezi Agosti mpaka Novemba. Wajumbe wa kitaifa watasambaa nchi nzima kufundisha na kuendesha warsha kuhusu masuala ya kielimu na imani. Ratiba ya Makongamano haya itawekwa muda si mrefu katika blog hii. Walengwa ni wa WATU WOTE, wanafunzi na wasio wanafunzi, wana CASFETA na wasio wana CASFETA. Ukihudhuria Makongamano haya utajua:-
-Jinsi ya kuwa FIRST IN &FIRST OUT katika ELimu
-Kwa nini watu wengi wanasoma sana lakini wanashindwa kwenye mitihani
-Jinsi ya kusoma kwa Malengo; na mengine meeeeeeeengi!!
USIKOSE!!!!
Wasiliana na Viongozi wa CASFETA-TAYOMI mkoani kwako kwa maelezo zaidi.

 "Change the Life of the Youths to Change the World"

Friday, May 25, 2012

CASFETA-TAYOMI Wafanya Mahafali ya Kihistoria UDOM


Wanafunzi  waliookoka wa makanisa ya Kipentekoste ambao ni wanachama wa CASFETA-TAYOMI Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tarehe 19/5/2012 walifanya sherehe ya kuwaaga wanachama wenzao wanaomaliza masomo yao chuoni hapo, Sherehe hizo zimekuwa za kihistoria kwani idadi ya wahitimu ilikua kubwa sana ikilinganishwa na miaka mingine kwa mahafali ya Vyuo/Vyuo vikuu, Wahitimu 270 walitunukiwa vyeti vya CASFETA (CASFETA MEMBERSHIP CERTIFICATES). Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Mheshimiwa Lephy Benjamin Gembe. Akitoa hotuba yake kwa wahitimu, na wana-CASFETA wote; Mgeni rasmi aliwaasa vijana hao kuendeleza umoja na mshikamano walionao katika kuishi maisha ya kumpendeza Mungu ili wawe viongozi bora kwa taifa la Tanzania, kwa maneno yake mwenyewe alisema “ninyi vijana ndiyo Wakuu wa Wilaya, Wabunge na Mawaziri wa siku za usoni maana sisi umri umekwenda na tunang’atuka, tutake tusitake lazima tuondoke na ninyi ndiyo mtachukua nafasi”. Mgeni rasmi aliipongeza huduma hii ya wanafunzi chini ya TAYOMI kwa kushirikiana na viongozi wa Serikali hata kuwaalika katika shuhuli za huduma, vilevile aliahidi kushirikiana na Huduma hii kwa kadri itakavyowezekana.Miongoni mwa wahitimu hao walikuwemo pia Bi. Nancy Ackland ambaye ni Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CASFETA-TAYOMI Tanzania 2010/2011na Bi. Sukama Kameta Mwenyekiti wa Wadada CASFETA-TAYOMI Taifa 2010/2011.

HABARI ZAIDI KATIKA PICHA
Wana CASFETA Wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiandamana kuelekea Ukumbini kwa akili ya kuanza sherehe rasmi.

Maandamano yameshika kasi huku yakiongozwa na matarumbeta, hii ni Historia haijapata kutokea wahitimu wengi namna hii!!!!!

WanaCASFETA -TAYOMI wahitimu wakiwa wamekaa kwenye nafasi zao huku shughuli za mahafali zikiendelea.  Mahafali hayo yalifanyika siku ya Jumamosi 19/05/2012 katika ukumbi wa Happy Cafeteria uliopo chuo cha sayansi ya jamii (College of Social Sciences) katika Chuo kikuu cha Dodoma. 

Mwenyekiti mstaafu wa CASFETA-TAYOMI UDOM, Ndugu Matthew Christian (Kushoto) pamoja na Mwenyekiti mstaafu wa Idara ya Wadada CASFETA-TAYOMI Taifa Bi. Sukama Kameta wakiwawakilisha wahitimu wenzao kusoma risala mbele ya mgeni rasmi.


 "UTABAKI KUWA MUNGU, UTABAKI KUWA MUNGU, UTABAKI KUWA MUNGU JEHOVA SHAMA!!!" Mgeni rasmi Mheshimiwa Lephy Benjamin Gembe ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Dodoma akiwaongoza makutano kuimba na kucheza wimbo huu wakati wa Mahafali ya CASFETA-TAYOMI Chuo Kikuu Cha Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa CASFETA-TAYOMI UDOM.

Mwenyekiti wa CASFETA-TAYOMI UDOM akimlisha mgeni rasmi keki iliyoandaliwa rasmi kwa ajili ya Mahafali, mgeni rasmi alisema kwamba hajawahi kula keki tamu kama hii.
Picha zote kwa hisani ya CASFETA BLOG (casfetaonline.blogspot.com), na aliamua kutoka mchango wa fedha ili Mahafali yajayo pia iandaliwe keki kama hii!!!!!

 Wahitimu wana CASFETA-TAYOMI UDOM wakiwa kwenye picha ya pamoja

Monday, April 16, 2012

THE 2012 EASTER CONFERENCE


 

Baadhi ya wana CASFETA-TAYOMI wakiwa wanamwabudu Mungu wakati wa kambi la Pasaka lililofanyika Arusha Mjini Katika Kituo Cha International Evangelism Centre- Sakila, Kambi hii ni moja ya makambi matatu yaliyofanyika mkoani Arusha, wana CASFETA zaidi ya 1500 walihudhuria. Habari kuhusu makambi mengine nchi nzima zitakufikia kupitia Blog hii hii.


TANGA

 Baadhi ya wana CASFETA-TAYOMI waliohudhuria kongamano la Pasaka wakisikiliza mafundisho ya neno la Mungu. Kongamano hili lilifanyika wilayani Lushoto katika chuo cha maendeleo ya jamii Mabugai Tarehe 5-9/4/2012. Watu zaidi ya 200 walihudhuria.


MAOMBEZI
Mchungaji Shetuli wa Evangelistic Assemblies of God (E.A.G.T) wilayani Lushoto akifanya maombezi kwa baadhi ya wana CASFETA wakati wa Kongamano la Pasaka la mwaka 2012 Mkoani Tanga.

VIPAJI

Vijana wenye vipaji waliigiza juu ya Kuteswa, kufa na kufufuka kwa YESU KRISTO kwenye Kongamano la Pasaka (2012) Mkoani Tanga, huyu kijana mwenye nguo nyeupe (Yesu) alionyesha kipaji cha ajabu kwa kusema maneno yote ya kwenye filamu ya Yesu bila kukosea, ilikua furaha ya ajabu.

Monday, February 20, 2012

Change the Life of the Youths to Change the World


Mkutano wa Injili Waanza kwa Kishindo huko Mkoani Tanga

Mkutano wa Injili utakaodumu kwa siku nane umeanza kwa kishindo huko wilayani handeni kijiji cha Mkata mkoani Tanga. Mkutano huo unaendeshwa na Huduma ya wanafunzi wakipentekoste (CASFETA-TAYOMI) wanaosoma Chuo kikuu cha Dodoma; Akiongea na blog hii Makamu wa Mwenyekiti wa CASFETA-TAYOMI UDOM; Mr. Hebron Sanke alisema kwamba pamoja na matatizo waliyopata safarini lakini watu wote wako salama na mkutano ulianza kwa nguvu kuu siku ya jumapili tarehe 19/2/2012. Mkutano huo utaendelea hadi 26/2/2012. Habari zaidi utazipata kupitia blog hii.

Thursday, February 16, 2012

9 Lies Women Tell Themselves About Men


Lie #1: A Christian man must be God’s best choice of a mate for me.
First of all, just because a man calls himself a Christian doesn’t mean a thing about his spiritual condition. Hitler probably professed to be a nice guy. What really shows a man’s faith is action—not trying to get you into bed until you are both wearing a ring; initiating his own personal relationship with God and encouraging yours as well; and especially holding his feelings back in the relationship to allow God to lead. God’s choice of a mate for you is going to be a godly man, and if you listen, God will tell you through an active prayer life and the counsel of other godly influences whether this is the one He has picked out for you.

Lie #2: If it feels right, it is right.
Feelings are unreliable. Don’t trust them, especially when it comes to spiritual matters. Feelings change day by day, and they can lie to you. Women who rely on them to make important decisions are going to be extremely disappointed, making one mistake after another. The decision must be made objectively and prayerfully. Sexual sin in the relationship will cloud objectivity and good judgment.

Lie #3: I can overlook a few character problems (a.k.a. red flags)—no one is perfect.
If a man has glaring character defects, it is likely that he is not teachable. Teachability is the number one character trait you should look for in a potential mate. I am not talking about normal struggles or mistakes, but habit pattern sins or dysfunctions that control their lives and that they are not open and contrite about. If a man is teachable, he will humbly listen to God and to his future wife when making decisions. He will be willing to work at his future marriage.

Lie #4: I really know him after spending so much time talking to him.
Phone and heart-to-heart conversations are no substitute for real life situations. He can tell you anything you want to hear while hiding behind a phone. But get him with his family, or behind a rude driver, or at a restaurant getting poor service, and then you begin to see what kind of a person he really is. A wise woman will wait it out awhile to observe his responses in every possible difficult and awkward situation.

Lie #5: He always tells me the truth.
If you think that then you don’t know most men in this world. Most men are very good at telling women what they want to hear in order to get what they want—sex. Pressure for sex from a “Christian man” should be the number one indicator of a dishonest man with underlying bad intentions and hidden motives.

Lie #6: Coincidences are a sign from God.
Satan, the master liar and counterfeiter, is cooking up coincidences to get you off track, so beware! He doesn’t want you to wait for God’s best. He wants to handicap your services for the Kingdom by getting you to settle for a miserable and empty marriage. Ask for godly counsel from objective bystanders, pray hard, and stay intent upon God’s will and not your own.

Lie #7: It’s normal for him to pressure me for sex. That’s just how men are.
True godly men live to please God and not their own selfish desires. They honor women as the treasure they are, treating them with absolute purity as Jesus would have done. They care more about the purity of their Christian sisters than a quick thrill for the moment. Sex before marriage is a sin and if a guy is pressuring, he doesn’t care about what God thinks and he doesn’t care about you either.

Lie #8: There are many quality romantic perfect men out there, just like in the movies.
Women have so filled their minds (and hearts) with Hollywood ideals about men, two tragedies have resulted. First, no man could ever live up to that fictitious standard so they are unfairly compared and criticized. Secondly, a woman in the beginning stages of a relationship can tend to fill in missing information about a man with imagined ideals before she even knows him. She ends up “falling in love” with an idea, not a person. When the man begins to show signs of human weakness, she is disappointed but holds onto the relationship hoping the man she first imagined will return. The few real quality men out there are the ones who are living to please God. You will need God’s help to find them.

Lie #9: When I find a man and get married, I will finally feel happy and complete.
If that’s true, why are so many women getting divorced (or wishing they were)? Why do Hollywood stars ditch beauties for someone else? The truth is, you will only feel happy and complete when you let God be your first love. No man—especially one who is not God’s best for you—will even come close. When the excitement wears off (and it will), you will feel more alone than when you were single.
By telling ourselves the truth, we have every chance to find the very best man that God wants to give us. A great example is my friend. She ended up getting out of that wrong relationship and listening to God for direction in her dating life. A few weeks ago, I attended her wedding. Just before she walked down the isle, she closed the door of the little room behind the three of us.

Julie Ferwerda is the author of The Perfect Fit: piecing together true love, and has written for publications such as Marriage Partnership, Focus on the Family, and Discipleship Journal. Find out more:  www.JulieFerwerda.com.

9 Lies Men Tell Themselves About Women


By Julie Ferwerda, From: Crosswalk.com Contributing Writer
Christian men and women in the dating world are met with so much wrong thinking in their relationships. It’s my hope to help you identify certain destructive lies in your thinking before it is too late.
LIE #1:  She’s flirting with me because she thinks I’m great.
Truth: While it seems innocent and fun, flirting is not a behavior that women who are trying to attract the right kind of man indulge in. Most women who flirt are looking for attention, not just from one certain great guy, but from any who will give them the attention they crave. Why? Likely she either has a poor self-image and she’s searching for ego strokes, or she is desperately looking for approval that she didn’t receive from her father. The trouble is, flirtatious women often have a hard time leaving that trait behind when they get married, and they inappropriately (and dangerously) continue to search for the approval of men long after “I do.” Also, women who need this type of attention can tend to be high maintenance in relationships, always craving more attention.

LIE #2:  She doesn’t realize what her revealing clothes are doing to me.
Truth: More likely than not, when she bought those clothes she was thinking about how you (and every other man) would drop his jaw when she walked by. While many women don’t realize the extent of men’s visual stimulation (since it’s quite different than women), most know exactly what they are doing to you. It’s called putting you under a spell to get what they want from you. Proverbs calls this a “seductress” with clear warning: “a seductress is a narrow well. She also lies in wait as for a victim, and increases the unfaithful among men.” Proverbs 23:27-28

LIE #3:  Her lack of faith won’t pull me down.
Truth: Solomon, the wisest man and king who ever lived, fell for this lie. Believing he was smarter than God gave him credit for, he stubbornly ignored God’s warning not to marry the pagan women of other nations because they would turn his heart after their false gods. Sure enough, that’s exactly what happened—and it cost him greatly. In the end, he walked away from his faith. So if the wisest man who ever lived, the one who had been visited by God himself on two different occasions and who even built God’s temple, wasn’t strong enough to stay devoted to God while going after unbelieving women, how could you be any different?

LIE #4:  She’s clingy, but I like to be needed. She’ll settle down once we’re married.
Truth: According to studies, men thrive on being needed, but this can backfire because many women out there are desperate to get married for the wrong reasons. A woman with “emotional gaps” will put expectations on you that you’ll never live up to, no matter how much time, love, or words of encouragement you give her, because she has mistaken you as the answer to her longings. After the wedding, you’ll disappoint her because you can’t do or be enough, and she may turn to other things for comfort—food, other men, alcohol, or shopping, to name a few. Depending on you occasionally for emotional support, or to help with certain things (like changing her oil or mowing her lawn) are great, but when it comes to emotional neediness, it’s a red flag and it’s not going to get better until she gets help.

LIE #5:  If she knew who I really am, she wouldn’t want me.
Truth: This fear motivates men to tell women what they want to hear instead of being open and honest about who they really are. When this happens, the relationship is built on a lie, increasing the chance of relationship failure later on. It also increases a man’s anxiety over exposure and rejection, creating a cycle of deceit. The woman you’re dating deserves to know exactly who you are and what kind of person she’s agreeing to love. It’s not fair to give her false hope. As an example, going to church with her before you are married or pretending to be a spiritual leader, with no intention of continuing later, is not an honest representation of yourself. If she is a good match for you and she’s operating under grace, she’ll love and accept you, warts and all.

LIE #6:  She wouldn’t just date me for financial reasons.
Truth: Think again. A woman’s greatest need is for security, according to studies. That doesn’t mean that all women are gold diggers, but you have to search out motives. There’s many a financially distraught woman thinking that getting married to someone financially stable will solve all of her problems, whether or not the man is right for her. Watch for a few factors. Does she manage her own money well? Is she stable financially on her own? Does she display expensive tastes out of her budget? Does she focus on her lack of finances or on your comfortable lifestyle? If you are concerned, be sure to approach this matter privately with a qualified pre-marriage counselor (her pastor?) for some objective help in discerning her motives. This may sound harsh, but you don’t want to risk marrying a woman who only loves your money.

LIE #7:  When I marry her, my lust problem will be solved.
Truth: This is a frequent misconception for men who are waiting to have sex until marriage. They think, “When I’m able to have sex with my wife, I won’t be tempted by pornography or dwell on lustful thoughts anymore because I’ll have an outlet for my sexual energy.” I think honest men will tell you that marriage did not solve their lust problem. In some cases, it aggravated it. This is due primarily to the fact that lust isn’t a sex problem. It’s a heart problem. And just like a fire, when you begin to feed it, it gets hotter and hungrier, not satisfied. When a man gets married, he may be even more focused on sex and can still feed his lustful thoughts with images and fantasies. The only answer is to starve the fire of lust to make it eventually die down. Flee, as the Bible says, from sexual temptation.
Many men also go into marriage expecting their wife to be a sex goddess—ready for a romp 24/7. Relationship problems, low sex-drive, busy schedules, interruptions from kids, and physical problems can all contribute to marital sex not being as plentiful as you hoped.

LIE #8:  She nags, but what woman doesn’t.
Truth: Frequent nagging is a control problem. If you want to be mothered for the rest of your life, then go ahead and accept the challenge. If not, either make sure she deals with her control problem before marriage, or move on until you meet up with a more relaxed woman who doesn’t need to micro-manage your life.

LIE #9:  Her past is her past—I don’t need to know.
Truth: Wrong! Her past becomes your past. You need to dig during the dating relationship to see if there are any big issues lurking in the deep waters beneath the surface. What was her relationship like with her dad? Has she ever been sexually molested or abused? How have men treated her in past relationships? How has she treated men in the past? All of this you need to know now, or you could be shocked and deeply affected later when huge roadblocks and past skeletons emerge in her sexual or emotional intimacy.

Julie Ferwerda is the author of The Perfect Fit: piecing together true love, and has written for publications such as Marriage Partnership, Focus on the Family, and Discipleship Journal. Find out more:  www.JulieFerwerda.com